1
Marko MT. 14:36
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akasema, Abba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikomhe hiki: walakini, si nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 14:36
2
Marko MT. 14:38
Kesheni, kasalini, msipate kuingia majaribuni: roho ina nia njema, hali mwili dhaifu.
Chunguza Marko MT. 14:38
3
Marko MT. 14:9
Amin, nawaamhieni, Killa ikhubiriwapo Injili katika ulimwengu wote, na hili alilotenda huyu litatajwa kwa kumbukumbu lake.
Chunguza Marko MT. 14:9
4
Marko MT. 14:34
Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkakeshe.
Chunguza Marko MT. 14:34
5
Marko MT. 14:22
Nao wakila, akatwaa mkate, akahariki, akamega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ni mwili wangu.
Chunguza Marko MT. 14:22
6
Marko MT. 14:23-24
Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. Akawaambia, Hii ni damu yangu, ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya watu wengi.
Chunguza Marko MT. 14:23-24
7
Marko MT. 14:27
Na Yesu akawaambia, Mtachukizwa nyote kwa ajili yangu nsiku huu: kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchunga, na kondoo watatawanyika.
Chunguza Marko MT. 14:27
8
Marko MT. 14:42
Ondokeni, twende; tazama, yeye anaenisaliti amekaribia.
Chunguza Marko MT. 14:42
9
Marko MT. 14:30
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, Wewe leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo marra mbili, utanikana marra tatu.
Chunguza Marko MT. 14:30
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video