Marko MT. 14:23-24
Marko MT. 14:23-24 SWZZB1921
Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. Akawaambia, Hii ni damu yangu, ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya watu wengi.