Marko 14:36
Marko 14:36 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Akasema, “ Abba, Baba, mambo yote yawezekana kwako. Niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali vile upendavyo wewe.”
Shirikisha
Soma Marko 14Marko 14:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Akasema, “Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. Uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.”
Shirikisha
Soma Marko 14