1
Luka MT. 2:11
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
maana leo katika mji wa Daud amezaiiwa Mwokozi kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana.
Linganisha
Chunguza Luka MT. 2:11
2
Luka MT. 2:10
Malaika akawaambia, Msifanye khofu; kwa maana nawaletea ninyi khabari njema za furaha kuu, itakayokuwa kwa watu wote
Chunguza Luka MT. 2:10
3
Luka MT. 2:14
Utukufu una Mungu palipo juu, Na katika inchi amani, kwa watu aliowaridhia.
Chunguza Luka MT. 2:14
4
Luka MT. 2:52
Yesu akazidi kuendelea katika hekima, na kimo, na neema kwa Mungu na kwa watu.
Chunguza Luka MT. 2:52
5
Luka MT. 2:12
Na hii ni ishara kwenu: Mtamkuta mtoto amefungwa nguo za kitoto; amelazwa horini.
Chunguza Luka MT. 2:12
6
Luka MT. 2:8-9
Katika inchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni usiku na kulinda kundi lao kwa zamu. Malaika wa Bwana akawatokea, utukufu wa Bwana ukawangʼaria: wakaingiwa na khohi nyingi.
Chunguza Luka MT. 2:8-9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video