Luka MT. 1:31-33
Luka MT. 1:31-33 SWZZB1921
Tazama, utachukua mimba, utazaa mwana, utamwita jina lake Yesu. Huyu atakuwa mkuu, atakwitwa Mwana wake Aliye juu; na Bwana Mungu atampa kiti cha Daud baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo hatta milele; wala ufalme wake hautakuwa na mwisho.