1
Mathayo 18:20
Swahili Revised Union Version
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Linganisha
Chunguza Mathayo 18:20
2
Mathayo 18:19
Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lolote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
Chunguza Mathayo 18:19
3
Mathayo 18:2-3
Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Chunguza Mathayo 18:2-3
4
Mathayo 18:4
Basi, yeyote ajinyenyekezaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Chunguza Mathayo 18:4
5
Mathayo 18:5
Na yeyote atakayempokea mtoto mmoja mfano wa huyu kwa jina langu, anipokea mimi
Chunguza Mathayo 18:5
6
Mathayo 18:18
Amin, nawaambieni, yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
Chunguza Mathayo 18:18
7
Mathayo 18:35
Ndivyo na Baba yangu wa mbinguni atakavyowatenda ninyi, msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake.
Chunguza Mathayo 18:35
8
Mathayo 18:6
bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Chunguza Mathayo 18:6
9
Mathayo 18:12
Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisini na tisa, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?
Chunguza Mathayo 18:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video