Mathayo 18:6
Mathayo 18:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 18