Mathayo 18:2-3
Mathayo 18:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18