Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 18:2-3

Mathayo 18:2-3 BHN

Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 18:2-3