1
Zekaria 9:9
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Shangilia sana, ee Binti Sayuni! Piga kelele, Binti Yerusalemu! Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, ni mwenye haki, naye ana wokovu, ni mpole, naye amepanda punda, mwana-punda, mtoto wa punda.
Linganisha
Chunguza Zekaria 9:9
2
Zekaria 9:10
Nitaondoa magari ya vita kutoka Efraimu na farasi wa vita kutoka Yerusalemu, nao upinde wa vita utavunjwa. Atatangaza amani kwa mataifa. Utawala wake utaenea kutoka bahari hadi bahari, na kutoka Mto hadi mwisho wa dunia.
Chunguza Zekaria 9:10
3
Zekaria 9:16
Mwenyezi Mungu, Mungu wao, atawaokoa siku hiyo kama kundi la watu wake. Watang’ara katika nchi yake kama vito vya thamani kwenye taji.
Chunguza Zekaria 9:16
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video