Zekaria 9:16
Zekaria 9:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, atawaokoa, maana wao ni kundi lake; nao watang'aa katika nchi yake kama mawe ya thamani katika taji.
Shirikisha
Soma Zekaria 9Zekaria 9:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na BWANA, Mungu wao, atawaokoa siku hiyo, Kama kundi la watu wake; Kwa maana watakuwa kama vito vya taji, Vikimetameta juu ya nchi yake.
Shirikisha
Soma Zekaria 9