1
Zaburi 18:2
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu; Mungu wangu ni mwamba wangu, ninayemkimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 18:2
2
Zaburi 18:30
Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, neno la Mwenyezi Mungu halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.
Chunguza Zaburi 18:30
3
Zaburi 18:3
Ninamwita Mwenyezi Mungu anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.
Chunguza Zaburi 18:3
4
Zaburi 18:6
Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika mbele zake, masikioni mwake.
Chunguza Zaburi 18:6
5
Zaburi 18:28
Wewe, Ee Mwenyezi Mungu, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Chunguza Zaburi 18:28
6
Zaburi 18:32
Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.
Chunguza Zaburi 18:32
7
Zaburi 18:46
Mwenyezi Mungu yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu!
Chunguza Zaburi 18:46
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video