1
Zaburi 17:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mabawa yako
Linganisha
Chunguza Zaburi 17:8
2
Zaburi 17:15
Bali mimi nitauona uso wako katika haki; niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Chunguza Zaburi 17:15
3
Zaburi 17:6-7
Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, nitegee sikio lako na usikie ombi langu. Uoneshe ajabu ya upendo wako mkuu, wewe unayeokoa kwa mkono wako wa kuume wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao.
Chunguza Zaburi 17:6-7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video