Zaburi 18:2
Zaburi 18:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mkombozi wangu; Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu za wokovu wangu na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18