1
Zaburi 19:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee Mwenyezi Mungu, Mwamba wangu na Mkombozi wangu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 19:14
2
Zaburi 19:7
Torati ya Mwenyezi Mungu ni kamilifu, ikihuisha nafsi. Shuhuda za Mwenyezi Mungu ni za kuaminika, zikimpa mjinga hekima.
Chunguza Zaburi 19:7
3
Zaburi 19:1
Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake.
Chunguza Zaburi 19:1
4
Zaburi 19:8
Maagizo ya Mwenyezi Mungu ni kamili, nayo hufurahisha moyo. Amri za Mwenyezi Mungu huangaza, zatia nuru machoni.
Chunguza Zaburi 19:8
5
Zaburi 19:9
Kumcha Mwenyezi Mungu ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za Mwenyezi Mungu ni za hakika, nazo zina haki.
Chunguza Zaburi 19:9
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video