Zaburi 19:14
Zaburi 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo wangu, yakubalike mbele yako, ee Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu na mkombozi wangu!
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 19