1
Zaburi 116:1-2
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Nampenda Mwenyezi Mungu kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie. Kwa sababu amenitegea sikio lake, nitamwita siku zote za maisha yangu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 116:1-2
2
Zaburi 116:5
Mwenyezi Mungu ni mwenye neema na haki, Mungu wetu ni mwingi wa huruma.
Chunguza Zaburi 116:5
3
Zaburi 116:15
Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa Mwenyezi Mungu.
Chunguza Zaburi 116:15
4
Zaburi 116:8-9
Kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa, ili niweze kutembea mbele za Mwenyezi Mungu, katika nchi ya walio hai.
Chunguza Zaburi 116:8-9
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video