1
Zaburi 115:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Sio kwetu sisi, Ee Mwenyezi Mungu, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.
Linganisha
Chunguza Zaburi 115:1
2
Zaburi 115:14
Mwenyezi Mungu na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.
Chunguza Zaburi 115:14
3
Zaburi 115:11
Ninyi mnaomcha, mtumainini Mwenyezi Mungu, yeye ni msaada na ngao yao.
Chunguza Zaburi 115:11
4
Zaburi 115:15
Mbarikiwe na Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na dunia.
Chunguza Zaburi 115:15
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video