1
Yeremia 10:23
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ninajua, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe; hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe.
Linganisha
Chunguza Yeremia 10:23
2
Yeremia 10:6
Hakuna aliye kama wewe, Ee Mwenyezi Mungu; wewe ni mkuu, jina lako ni lenye nguvu na uweza.
Chunguza Yeremia 10:6
3
Yeremia 10:10
Lakini Mwenyezi Mungu ni Mungu wa kweli, yeye ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele. Anapokasirika, dunia hutetemeka, mataifa hayawezi kustahimili hasira yake.
Chunguza Yeremia 10:10
4
Yeremia 10:24
Unirudi, Ee Mwenyezi Mungu, lakini kwa kipimo cha haki: si katika hasira yako, usije ukaniangamiza.
Chunguza Yeremia 10:24
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video