Yeremia 10:6
Yeremia 10:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana.
Shirikisha
Soma Yeremia 10Yeremia 10:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza.
Shirikisha
Soma Yeremia 10