Yeremia 10:24
Yeremia 10:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Utukosoe, ee Mwenyezi-Mungu, lakini si kwa ghadhabu, wala kwa hasira yako, tusije tukaangamia.
Shirikisha
Soma Yeremia 10Yeremia 10:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, unirudi kwa haki; si kwa hasira yako, usije ukaniangamiza.
Shirikisha
Soma Yeremia 10