YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

DAY 18 OF 31

Tendo la Yesu kumponya kipofu siku ya sabato lilileta mjadala miongoni mwa Mafarisayo. Wengine wakasema Yesu hakutoka kwa Mungu kwa sababu hashiki sabato; wengine wakapinga maoni ya hao kwa kuonyesha ishara alizozifanya. Zilionekana zimetoka kwa Mungu. Yule aliyeponywa upofu wake alishuhudia bila hofu kuwa aliyemponya ni nabii. Je, wewe unashudia nini kumhusu Yesu? Kama vile yule kipofu alivyomkiri Yesu kuwa nabii bila woga, ni heri nasi tukimkiri Yesu kuwa Kristo mbele ya watu wote.

Scripture

Day 17Day 19

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu Yohana na Mithali. Karibu kujiunga na mpango huu.

More