YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

DAY 17 OF 31

Yesu alimponya mtu huyu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa. Ni ajabu! Kwa nini alitumia matope, hatujui, ila tunajua Yesu alitaka yule kipofu afahamu kwamba ni kazi yaMungu, na Yesuametumwakuifanya. Hayo tunayaelewa tukilinganisha m.3b na jina la birika lililotafsiriwa katika m.7: Ilikazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake. ...Nenda kawane katika birika ya Siloamu (maana yake, Aliyetumwa). Tena, kwa kuwa Yesu ni nuru ya ulimwengu alimtia nuru huyu kipofu ili aone vitu vya ulimwengu huu; na kitu muhimu zaidi, Aone uzima wa milele ulio ndani ya Yesu! Yesu anaweza kutufumbua macho yetu hata sisi tuuone dhahiri uzima wa milele ulio ndani yake.

Scripture

Day 16Day 18

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu Yohana na Mithali. Karibu kujiunga na mpango huu.

More