YouVersion Logo
Search Icon

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza MoyoSample

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo

DAY 5 OF 5

Mungu ana geuza maisha yako namna gani kupitia kwa maandiko ya wiki hii?

Ni nani utashiriki naye ufumbuzi wa wiki hii?

Ikiwa umefurahiya mpango huu, unaweza kuchimba masomo manne ya bure ya 2GO ya Biblia. Masomo mawili ya kwanza yanahusu moyo wa Mungu kwako na jinsi moyo wako unaweza kuwa nyumba ya Kristo. Masomo mawili ya mwisho yanakuongoza kutafakari vifungu ambavyo vitatia moyo na kuimarisha moyo wako. Utafiti huu wa Biblia unatoka katika vifungu anuwai vya Agano la Kale na Agano Jipya. Pakua Miongozo ya Utafiti na Kiongozi kwenye nbs2go.com .


Scripture

Day 4

About this Plan

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo

Unaposoma, kuwazia na kufuata Neno la Mungu, mabadiliko ya ajabu yataanza kutendeka kwenye mwoyo wako, sambamba na ule mfano wa kiwavi na kipepeo kwenye zile nyuzi. Mabadiliko haya mwoyoni yataanza kudhihirika katika maisha yako ya kila siku, na kuleta maisha mapya hambayo haungedhani ingeweza kutendeka. Wewe ni kiumbe kipya!

More