YouVersion Logo
Search Icon

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza MoyoSample

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo

DAY 3 OF 5

Kulingana na kufahamu,andika chini nia yako na matendo yanayo itajika kugeuzwa.

Scripture

Day 2Day 4

About this Plan

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo

Unaposoma, kuwazia na kufuata Neno la Mungu, mabadiliko ya ajabu yataanza kutendeka kwenye mwoyo wako, sambamba na ule mfano wa kiwavi na kipepeo kwenye zile nyuzi. Mabadiliko haya mwoyoni yataanza kudhihirika katika maisha yako ya kila siku, na kuleta maisha mapya hambayo haungedhani ingeweza kutendeka. Wewe ni kiumbe kipya!

More