Moyo - Neno La Mungu Hugeuza MoyoSample
Andika maandiko kwa maneno yako au chora picha ukionyesha maana yake ili kuifanya rahisi kwa mtoto aweze kuelewa.
Scripture
About this Plan
Unaposoma, kuwazia na kufuata Neno la Mungu, mabadiliko ya ajabu yataanza kutendeka kwenye mwoyo wako, sambamba na ule mfano wa kiwavi na kipepeo kwenye zile nyuzi. Mabadiliko haya mwoyoni yataanza kudhihirika katika maisha yako ya kila siku, na kuleta maisha mapya hambayo haungedhani ingeweza kutendeka. Wewe ni kiumbe kipya!
More