YouVersion Logo
Search Icon

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza MoyoSample

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo

DAY 4 OF 5

Kamilisha; Nikiamua kuamini na kufuata neon la mungu leo, maisha yangu,uhusiano na akili utakua na mtazamo?

Iliniweze ..................................................

Ili niweze kuwaburudisha wengine na ...................................................


Scripture

Day 3Day 5

About this Plan

Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo

Unaposoma, kuwazia na kufuata Neno la Mungu, mabadiliko ya ajabu yataanza kutendeka kwenye mwoyo wako, sambamba na ule mfano wa kiwavi na kipepeo kwenye zile nyuzi. Mabadiliko haya mwoyoni yataanza kudhihirika katika maisha yako ya kila siku, na kuleta maisha mapya hambayo haungedhani ingeweza kutendeka. Wewe ni kiumbe kipya!

More