Logo de YouVersion
Ícono Búsqueda

Mafunzo ya YesuMuestra

 Mafunzo ya Yesu

DÍA 5 DE 7

Kuhusu Kufunga

Yesu afunza kuhusi kufunga na kuwa moyo wetu utapatikana kwa vitu tunayo dhamani.

Swali 1: Elezea chenye unachoamini inahusikana na kufunga kibibilia.

Swali 2: Kuna umuhimu gani kwa Wakristo kufunga?

Swali 3: Unadhani ni hatari zipi za kujiwekea pesa na mali kwa hali ya ulafi?

Día 4Día 6

Acerca de este Plan

 Mafunzo ya Yesu

Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More