Logo de YouVersion
Ícono Búsqueda

Mafunzo ya YesuMuestra

 Mafunzo ya Yesu

DÍA 3 DE 7

Kuhusu Uzinzi na Talaka

Yesu anafunza kuhusu dhambi ya kuzini na masababishi ya talaka.

Swali 1: Tunwawezaje wasaidia wanao tenda uzinzi ama talaka na bado kutii neno la Mungu?

Swali 2: Uasherati na talaka vinamaanisha nini kwako?

Swali 3: Kutokana na maandiko, unafikiri Yesu angependa ufanye nini?

Día 2Día 4

Acerca de este Plan

 Mafunzo ya Yesu

Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More