Mwanzo 1:16

Mwanzo 1:16 SRUV

Mungu akaumba mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.