Uponyaji wa YesuMfano
Kijana Mwenye Pepo Chafu Aponywa
Yesu afukuza pepo chafu kutoka kwa kijana, na wote washangazwa juu ya nguvu za Mungu.
Swali 1: Tafakari ule wakati ulikuwa na imani ya ukweli ndani ya Mungu na ukafanya chochote alichotaka ufanye. Ulikwa na matokeo gani?
Swali 2: Elezea wakati ulitoka katika imani, ukiwa na nia ya kumfanyia Mungu kitu na ukashindwa. Unafikiria kushindwa kwako kulitokana na nini, na ulijihisi aje wakati huo?
Swali 3: Kutokana na mafundisho ya Yesu kuhusu kuomba na imani, unadhani Wakristo wengine wanaweza kukabilianaje na vita dhidi ya pepo wachafu.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza jinsi Yesu alivyo onyesha nguvu na huruma yake alipokuwa anaponya watu wakati alipokuwa duniani. Video fupi inaangazia mmoja wa wale watu Yesu aliponya kwa kila siku ya mpango wa sehemu 12.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg