Uponyaji wa YesuMfano
Yesu Amponya Mwanamke Kilema
Mtawala wa sinagogi akasirika kwasababu Yesu anaponya mwanamke siku ya Sabato.
Swali 1: Ni mvutano gani kanisa inapitia leo kuhusu kutunza watu na kuweka sheria ya dini?
Swali 2: Unaweza kuiga aje huruma za Yesu kwa watu wanaoumia, hata hadharani?
Swali 3: Yesu anaweka kusaidia watu mbele ya kusaidia wanyama. Unaweza kuelezeaje orodha yako kwa kulinganisha na yake?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza jinsi Yesu alivyo onyesha nguvu na huruma yake alipokuwa anaponya watu wakati alipokuwa duniani. Video fupi inaangazia mmoja wa wale watu Yesu aliponya kwa kila siku ya mpango wa sehemu 12.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg