Uponyaji wa YesuMfano
Yesu Atakasa Wakoma Kumi
Yesu aponya wakoma kumi na mmoja peke yake arudi kusema asante.
Swali 1: Ni nani anaweza kucgukuliwa kuwa mhuni kama mwenye ukoma siku hizi?
Swali 2: Kama mmoja wa wale “tisa,” unaelezeaje kutokurudi kumshukuru Yesu?
Swali 3: Ni kwa njia gani na kwa kitu gani unamshukuru Yesu leo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza jinsi Yesu alivyo onyesha nguvu na huruma yake alipokuwa anaponya watu wakati alipokuwa duniani. Video fupi inaangazia mmoja wa wale watu Yesu aliponya kwa kila siku ya mpango wa sehemu 12.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg