Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Uwezo: Uongozi wa WanafunziMfano

Capacity: Student Leadership

SIKU 4 YA 5

Matendo 6:1-7
Wanafunzi walikuwa wakichagua uongozi mpya wa kanisa. Je, umegundua sifa ambazo walitaka viongozi wapya wawe nazo? Walitaka watu ambao walikuwa wamejazwa na Roho na hekima. Walitaka viongozi waliokuwa takatifu. Ni muhimu kuwa unaongozwa ukiongoza. Acha Mungu akuongoze. Jiunganishe naye. Sikiliza anavyo kuongoza maishani mwako. Kila maamuzi utakayoyafanya maishani mwako yanapaswa kuongozwa na Mungu. Viongozi wanaomtii Mungu humtegemea kwa uongozi.

Andiko

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Capacity: Student Leadership

Mungu anakuitia Mambo Makubwa. Sio tu ukishakuwa mkubwa bali sasa hivi. Mpango huu utakutia moyo na kukuonyesha jinsi ya kuongezeka na muongozo wa unapostahili kuwa maishani sasa hivi. Mungu anaweza na atakutumia kwa njia za ajabu. Swali ni—utamkubalia?

More

We would like to thank Switch, a ministry LifeChurch.tv, for providing this plan. For more information, please visit: www.lifechurch.tv