Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Uwezo: Uongozi wa WanafunziMfano

Capacity: Student Leadership

SIKU 2 YA 5

Marko 10:42-44
Uongozi sio kuonyesha watu ukubwa wako na kuwaambia cha kufanya. Uongozi ni kuenda mahali ambapo una hisia na hamu ya kuwapa wengine maono yako. Viongozi wa kweli ni wale ambao wanaangalia maslahi ya wale wanaowaongoza na kushughulikia wasiwasi wao na ustawi wao. Viongozi wakuu hupitia mengi makuu kwa ajili ya watu wao.

Tito 1:5-9
Kuacha kumuita Mungu maishani mwako sio tu kufanya mambo. Ni kuhusu kuishi kwa njia fulani. Kama utakuwa kiongozi, watu watakuwa wakitazama jinsi unavyoishi maisha yako. Usiwe tu mfano kwa vitu unavyofanya, kuwa mfano kwa vile unavyoishi. hiyo itakuwa na matokeo makubwa kuliko unavyodhania. Kifungu hiki kinaorodhesha ni nini kinachotengeneza kiongozi. Zingatia orodha hiyo. Ni ``````jinsi gani orodha hii inakuelezea wewe binafsi? Ni vitu gani katika orodha hiyo ambavyo unahitaji kushughulikia? Ukishughukia hayo, basi utakuwa tayari kuwa kiongozi mzuri wa wengine.
siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Capacity: Student Leadership

Mungu anakuitia Mambo Makubwa. Sio tu ukishakuwa mkubwa bali sasa hivi. Mpango huu utakutia moyo na kukuonyesha jinsi ya kuongezeka na muongozo wa unapostahili kuwa maishani sasa hivi. Mungu anaweza na atakutumia kwa njia za ajabu. Swali ni—utamkubalia?

More

We would like to thank Switch, a ministry LifeChurch.tv, for providing this plan. For more information, please visit: www.lifechurch.tv