Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuMfano

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

SIKU 10 YA 28

Nabii Isaya alitazamia kuwasili kwa Mfalme ajaye, ambaye angefanya agano la shalom na watu wake. Utawala wake ungeondoa matatizo yote na kuponya yote yaliyovunjika. 

Soma:

Isaya 9:6-7 

Tafakari: 

Ni maneno au vifungu vipi vinajitokeza kwa upekee kwako unavyoangalia kifungu hiki?

Kwa mujibu wa kifungu hiki, Mfalme wa Amani hutawala Ufalme wake vipi?

Unawezaje kusaidia kuleta utawala wa amani wa Mungu katika maeneo ambako una ushawishi?

Mwombe Mfalme wa Amani akuongoze na aongoze kupitia kwako wiki hii.




Andiko

siku 9siku 11

Kuhusu Mpango huu

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.

More

Tungependa kushukuru BibleProject kwa kutoa Mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com