Mpango Bora wa KusomaMfano
Unachagua vipi kuishi maisha ya kutosheka na uchache? Unapigania yale yanayojalisha. Paulo anamwambia Timotheo katika 1 Timotheo 6, kimbia upendo wa pesa na mali, na baada yake fuata urahisi katika haki, uungu, imani, upendo, saburi na upole
Andiko
Kuhusu Mpango huu
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv