Mpango Bora wa KusomaMfano
Unaanza vipi kuishi maisha ya uchache? Anza na methali ya tajiri mpumbavu katika Luka 12. Usijenge ghala kubwa kwa mambo yasiyo ya lazima katika maisha yako. Badala yake, tupa vitu kana kwamba uhai wako unategemea kitendo hicho. Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi na kuamini vitu visivyojalisha kwa sababu Mungu ana ahidi kukidhi maitaji yetu
Andiko
Kuhusu Mpango huu
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv