Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mpango Bora wa KusomaMfano

The Better Reading Plan

SIKU 12 YA 28

Yesu alisema kutosheleka na uchache unalenga hazina mbinguni badala ya mali duniani Hakuna haja ya kuweka hazina duniani Uchaguzi bora ni kutokua na wasiwasi kwa sababu Mungu daima atakidhi mahitaji yetu kama tutamtafuta.
siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

The Better Reading Plan

unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv