Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 03/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2020

SIKU 24 YA 31

Sikukuu ya Pasaka ina maana ya wokovu wetu kwa kifo cha Yesu. Hata kwenye Pasaka ya kwanza, wana wa Israeli aliambiwa hivyo kwa njia ya mfano wa mwana-kondoo (Kut 12:21-23). Yesu ndiye Mwana-kondoo wa Pasaka ya Wakristo. Leo tumesoma Yesu akijiandaa mbele ya wanafunzi wake kwenda kufa awe kafara ya dhambi za watu wote. Yuda anadhihirisha uwezekano wa mtu kuwa Mkristo kwa miaka mingi, lakini moyoni mwake asimthamini Yesu. Tamaa ya fedha inaweza kumvuta mtu mpaka aasi mafundisho na maonyo ya Mungu, na kumfanya amkane Kristo. Tuombe Mungu atupe uthabiti katika imani.

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2020

Soma Biblia Kila Siku 03/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Samweli, Mathayo na Zaburi. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kusoma na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz