INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA SITAMfano
BWANA WA MAVUNO
35 Yesu akazunguka katika miji yote na vijiji vyote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme na kuponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.Alipoona makutano aliwahurumia
kwa sababu walikuwa wanasumbuka bila msaada, kama kondoo wasio na mchungaji.
37 Ndipo akawaambia wanafunzi wake,
“Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache,
"38 Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watenda kazi katika shamba lake la mavuno.”
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana
More
Tunapenda kushukuru GNPI Afrika kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://gnpi-africa.org