Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano
Ni muda sasa
Ikiwa kama hauja wai kuja kwangu, kitu ambacho utatazama kwa mwanzo ni saa--nina saa sita ndani ya sebuleni yangu. Yote niya mitambo;kuna kitu natafutaka nikusia jinsi saa inaweka sauti kila sekunde ambayo inafanya kwamba nafsi yangu kupumuzika. Nina lofu ya ndani kwakuchelewa mahali. Pengine hiyo makelele ya saa inaniambia kama angalisho usikose mpango wako wa maana.
Yesu alijua muda wote wakatiwake wa kuponya, wakufundisha, wakukemea, wakuenda kwa maombi, wakuenda pia kula chakula. Baba yake alimujulisha pia wakati ambapo muda wake wakufariki ulipofika. Yesu aliambia wafers wake kwamba muda wake wakutembea akifundisha umetimilika. "Tangu wakati huo Yesu alianza kuwajulisha waziwazi wanafunzi wake kwamba ni lazima aende Yerusalemu, na huko kupata mateso mengi yatakayosababishwa na wazee, makuhani wakuu na waalimu wa sheria. Kwamba, atauawa na siku ya tatu atafufuliwa" (Matayo 16: 21). Alijua kama kuingia kwake Yerusalema kwa siku ya matawi ilikua yake ya mwisho
Muujiza mkubwa ilitokea hii siku ya matawi. Watu wengi walitambua kwa ukimya kama aliye juu ya punda ndiya Mesiya, ukamilifu wa maandiko ya agano la kale. Kulalamika hozana ilimaanisha kama walijua pia kama muda umefika--kama mfalme wao alipada juu ya mwana punda akiingia ndani ya maisha yao na akialika utiifu wao.
Unajua kama tuko muda gani? Nimuda wako pia kujiunga na kualika, ama kualika tena mara nyingine, Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi. Kupitia neno lake, kwa njia ya ubatizo, kwakupitia mwili na damu iliyo tolewa ndani ya Meza ya Bwana, Yesu anakujia mwenyewe leo kama vile alivo kuja wakati wa kale. Matawi yakualika: muabudu leo.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.
More
Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: www.timeofgrace.org