Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions

SIKU 6 YA 14

Jipe moyo!

Siku za ajabu nane kuanzia siku ja juma pili ya Matawi mpaka siku ya Pasaka zinaitwa Wiki Takatifu kwa unyenyekevu na shukrani ya Wakristo. Ilikua mripuko wa kazi ya Mungu kwa Ukombozi ambayo ulimwengu hauja wai ona, ambayo inapita hata uumbaji mwenyewe. Sijambo lingine ila ushindi wa Mkombozi wa mwanadamu juu ya adui yake mkuu: dhambi, Shetaani, kifo, hukumu, na kuzimu.

Mara mingi kwa wiki hiyo, hata hivyo, wafuasi wa Yesu walikua chini ya mzigo mkubwa. Mambo mengi ambayo Yesu aliwaambia ilionekama kama haina maana kwa hiyo wakati, na yale walio elewa hawakutaka kuisikia. Kwa Alhamisi ya hiyo wiki maalum, walisherekea Pasaka ya mwisho pamoja na Yesu, kisha wakaonja Meza ya Bwana ya kwanza na wakapokea mwili na damu pamoja na mkate na mvinyo. Yesu aliosha miguu yao ya uchafu, moja baada ya mwengine, kama mfano maalumu wa uongozi ya utumishi.

Masaa mengi ya hiyo jioni ilikua zaidi ya mafundisho ya mambo makubwa. Ilikua hakikisho la kutisha kuhusu vita na ugumu wa maisha ambao unawangojea na kila yule ambaye kwa wazi anatumikia Mungu na ufalme wake. Ila ilikua pia madai na utangazaji maalum wa ushindi wa mwisho juu ya wote ambao wajiunda pamoja na imani katika Kristo. "Nimewaambieni mambo haya ili mpate kuwa na amani katika kuungana nami. Ulimwenguni mtapata masumbuko. Lakini jipeni moyo! Mimi nimeushinda ulimwengu!” (Yohane 16:33).

Hapa ndipo kuliko tumaini leo kwa waamini ambao huugua na wana hofu. Bibilia inatuambia kama maisha yetu inafichwa ndani ya Kristo. Kwakutazama nikama tunapoteza. ila hiyo ni udanganyifu. Ukweli nikwamba miasma yetu, tumaini yetu, ushirika wetu ni ndani ya mkono wa ajabu wa Kristo. Wakati ambapo maisha yako inajaa na shida, jipe moyo! Kristo ameshinda. Ameshinda; umeshinda. Mshukuru sasa.

Andiko

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: www.timeofgrace.org