Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

Hakuna hukumu
Bwana Yesu, Mungu toka umilele wote, alichukua mwili yetu na akaja kuishi duniani kama mtu kwa sababu fulani. Ila sababu kubwa ndaniyao ni kuweka huru wale wanaoishi ndani ya utumwa kwa njia ya wofu ya kifo, kama vile mwandishi wa Waebrania aliiweka kati ya sura ya pili.
Yesu aliishi maisha ya badala ajili yetu, akijiachilia chini ya sheria ya Mungu na ya wanadamu na kuzilinda zote kabisa. Alitoa mwili wake kea unyenyesaji na kwa mateso, akijua kama kwa njia hiyo hukumu iliyokua juu yetu itamuendea juu yake. Hatimaye, alijikabizi kwenye kifo mwenyewe, na kwa kupitia mabadilisho maalum ambayo ilifanyika hapo Kaluvary, kifo chetu kikawa kifo chake na bila uhatia wake ukakuwa wetu.
Matokeo? "Kwa hiyo, sasa hakuna hukumu kwa wale ambao katika maisha yao wameungana na Kristo. Maana, sheria ya Roho iletayo uhai kwa kuungana na Kristo Yesu imenikomboa kutoka katika sheria ya dhambi na kifo" (Waroma 8:1,2). Hii ndio maana hauhitaji kuogopa kukaribia Mungu tena. Dhambi zako zime samehewa, zote kabisa, kwa lengo, kwa bure, toka kitambo, bila matokeo ya matendo yako. Ni urithi, si mshahara. Ni yakwako--aaminiye ataipata.Gongu anaimaanisha — Hakuna hukumu inamaanisha hakuna hukuma. Unaweza pumua sasa.

Kuhusu Mpango huu

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.
More
Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: www.timeofgrace.org