Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano
Abarikiwe Mfalme
Hakuna taifa ambayo inapamba mrahaba vizuri kuliko Britain. Elizabeth II ametawala kwa muda mrefu na niwazee tu ambao wanaweza kumbuka mapambo ya mwaka 1953, ila hapo karibuni tutatazama nyingine. Mfalme wa mpya atakuja na maandamano, akifuatana na Mfalme wa High Stewart pamoja na taji ilara la dhahabu la St. Edward,na baadaye aliwekwa madarakani na Golden Spurs (kwa tarehe kuanzia 1189), mavazi ya kifalme, kofia ya dhahabu, na fimbo ya dhahabu.
Utofauti gani wakai Yesu alioi ingia Yerusalemu kama mfalme kutoka mlima wa mizeituni. Alikua juu ya mwana punda, myama ndogo ambayo ilikua nahaiweze hata kunyanyua kicha chake juu ya umati. Tena kuna watu wendi ndani ya umati ambao walimjua kama mfalme ambaye aanaanza tawala: "Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana!" (Luka 19:38). Kanzu la ufalme ambay ilikua ikimungujea ilikua vazi la jeshi la warumi wa kale; fimbo la ufalme alio pewa ilikua mwanzi mzaifu; kofia juu ya kichwa chake ilifanyikwa apana na dhahabu ila na miba.
Damu iliyo toka kwenye uso wake kwa njia ya miiba ilikua damu ya mwanadamu na pia damu ya Mungu. Kwanjisi ilikua na uwezo wa kununua na kukomboa. Kama mtu Yesu anaweza kutuwakilisha mbele ya kchi cha hukumu cha Mungu; kama Mungu anaweza kuwakilisha ulimwengu nzima ambayo inajaa na wanadhamb. Kwa kupitia vidonda vyake tumepona.
Mlima wa Mizeituni inamaanisha kama maandamano ya taji ya ufalme. Na ilikua kwa hiyo nafasi ambayo Kriso aliye fufuka toka wafu alinyakuliwa kwenda mbinguni. Unyenyekevu wake umebadilishwa na utukufu; wahudumu wake sasa ni maelfu kumi mara elfu kumi ya malaika; uepo wake na Roho yake inajaa ulimwengu wote; anatawala vitu vyote kwa faida ya ndugu zake na dada zake. Kwa njia ya imani, tu jamaa ya ufalme. Ufalme wa mbinguni.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.
More
Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: www.timeofgrace.org