Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutumia muda wako kwa ajili ya MunguMfano

Using Your Time for God

SIKU 2 YA 4

"Ukombozi wa Muda wako"

Muda ni kiwango sawa kikubwa. Ni rasilmali moja ambayo imegawa katika masharti halisi ya usawa. Kila mtu anayeishi ana idadi sawa ya masaa kutumia kila siku. Watu walio na shughuli nyingi hawapewi muda maalum wa ziada ulioongezwa katika saa za siku. Saa haipendelei chochote.

Sote tuna kipimo sawa cha muda kila siku. Pale ambapo tunatofautiana ni jinsi tunavyohifadhi muda ambao tumepewa. Wakati kitu kimehifadhiwa, kimekombolewa au kimenunuliwa kutoka kwa hali mbaya. Hali mbaya ya msingi tunayozungumzia ni ile hali ya ubadhirifu. Kupoteza muda ni kutumia muda kwa kitu ambacho hakina manufaa au manufaa yake ni kidogo.

Marehemu Vince Lombardi alianzisha msemo, "Kamwe sikupoteza mchezo; Niliishiwa na Muda." Msemo huu unanielekeza kwa mojawapo wa mambo muhimu katika michezo—mbio dhidi ya saa. Timu ambayo itakuwa na mafanikio zaidi ni ile ambayo itashinda mchezo katika muda uliowekwa. Bila shaka, katika michezo, tofauti na maisha, kuna masharti ya muda kusimamishwa. Saa katika michezo inaweza ikasitishwa kwa muda. Lakini katika maisha ya kweli, hakuna nafasi ya kusimamisha muda.

Coram deo: Kuishi mbele ya uso wa Mungu

Muulize Mungu akuonyeshe njia za kuokoa muda ambao unapoteza kwa vitu ambavyo havina maana.

Hakimiliki © Huduma za Ligonier. Pata kitabu cha bure kutoka kwa R.C. Sproul Ligonier.org/freeresource
siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Using Your Time for God

Ibada ya siku nne kutoka kwa R.C. Sproul, jinsi ya kutumia wakati wako kwa ajili ya Mungu. Kila Ibada inakuhimiza kuishi katika uwepo wa Mungu, chini ya mamlaka ya Mungu, kwa utukufu wa Mungu.

More

Tungepeanda kuwashukuru Ligonier Ministries kwa kutupatia mpango huu Kwa maelezo zaidi,tembelea Ligonier.ord/freeresource