Kutumia muda wako kwa ajili ya MunguMfano
"Kutumia Muda wako kwa Ufanisi"
Nilipokuwa mtoto katika shule ya msingi, watu mara nyingi waliniuliza, "Ni somo lipi ulipendalo?" Kila mara jibu langu lilikuwa mojawapo wa mambo mawili. Nilisema, "likizo" au "mazoezi" Jibu langu lilionyesha nilichokipenda kwa kina. Nilipendelea kucheza kuliko kufanya kazi. Kwa kweli, falsafa yangu changa na ya kushangaza kuhusu neno":Kwa nini?" maswali yalitokea nilipokuwa nikifanya mchezo wa kutembea shuleni kwa kutembea kwa ncha za vidole za miguu, nikijifanya nilikuwa mwana sarakasi.
Nilijiuliza maana ya maisha wakati ilinibidi nitumie siku tano kwa wiki nikifanya kile ambacho sikupenda ila kungojea wikendi nicheze. Nilikuwa shuleni kila siku saa moja kabla ya shule kuanza—sio kwa sababu nilipenda masomo na shule lakini ndio angalau nipate nafasi ya kucheza kabla ya kengele kupigwa. Kwangu mimi, kuokoa muda ilimaanisha kuweka dakika za thamani za kucheza kutoka kwa saa za kufanya kazi.
Nimekuja kugundua kuwa wakati Mtume Paulo aliwashauri wasomaji wake" [kukomboa] wakati, kwa sababu ni siku za maovu" (Waefeso. 5:16), matendo yangu sio hasa yaliyokuwa akilini mwake. Lake lilikuwa wito wa kutumia muda kwa ufanisi katika kazi ya Ufalme wa Kristo.
Coram deo: Kuishi mbele ya uso wa Mungu
Je, unatumia muda wako kwa ufanisi katika Ufalme wa Mungu?
Hakimiliki © Huduma za Ligonier. Pata kitabu cha bure kutoka kwa R.C. Sproul katika Ligonier.org/freeresource.

Kuhusu Mpango huu
Ibada ya siku nne kutoka kwa R.C. Sproul, jinsi ya kutumia wakati wako kwa ajili ya Mungu. Kila Ibada inakuhimiza kuishi katika uwepo wa Mungu, chini ya mamlaka ya Mungu, kwa utukufu wa Mungu.
More
Tungepeanda kuwashukuru Ligonier Ministries kwa kutupatia mpango huu Kwa maelezo zaidi,tembelea Ligonier.ord/freeresource