Hesabu 6:22-24
Hesabu 6:22-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Mwambie Aroni na wanawe kwamba hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli: Mtawaambia, ‘Mwenyezi-Mungu awabariki na kuwalinda
Shirikisha
Soma Hesabu 6Hesabu 6:22-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabariki wana wa Israeli; mtawaambia; BWANA akubariki, na kukulinda
Shirikisha
Soma Hesabu 6