Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hes 6:22-24

Hes 6:22-24 SUV

Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabarikia wana wa Israeli; mtawaambia; BWANA akubarikie, na kukulinda

Soma Hes 6

Video for Hes 6:22-24