Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 6:22-24

Hesabu 6:22-24 SRUV

Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabariki wana wa Israeli; mtawaambia; BWANA akubariki, na kukulinda

Soma Hesabu 6